Umemjibu mtoa mada , sasa akae Kwa kutuliaSheria za soka ni 17 worldwide
KANUNI ZA MASHINDANO ndio tofauti kati ya nchi na nchi.
Kuna nchi ligi wanacheza kwa makundi, Nyingine kwa mfumo wa ligi moja kama Bongo.
Kuna ligi zingine mkifanana Point wanaangalia HEAD TO HEAD ndio bingwa anaamuliwa (SPAIN)
Kuna ligi wafungaji wakifanana wanapewa viatu wote (UINGEREZA + GERMANY)
Kuna ligi Wafungaji wakifanana wanaangalia Magoli machache ya Penalty.
Kuna ligi au michuano haina Golden boot.
Kwa Bongo, mkifanana Magoli, wanaangalia Mwenye magoli machache ya Penalty.
Sasa kama ndio hivyo wanajadili nini sasa wakati anayestahili kiatu anafahamika ?Kwa Bongo, mkifanana Magoli, wanaangalia Mwenye magoli machache ya Penalty.
Hawajauelewa uzi mkuu.Sasa kama ndio hivyo wanajadili nini sasa wakati anayestahili kiatu anafahamika ?
Iko hivi, kwenye zile kanuni kuu za Ligi huwa haiwekwi, hizi huwa ni kanuni ndogo za michuano. Nenda hata CAF hakuna sehemu wameweka utaratibu wa Top Score but wanajua kuna mfungaji bora nk. Kuna kanuni kuu na ndogo, kanuni ndogo zipo TFF na kanuni kuu za Ligi huwa zinakuwa Published.Sasa kama ndio hivyo wanajadili nini sasa wakati anayestahili kiatu anafahamika ?
Peponi moja kwa mojaIko hivi, kwenye zile kanuni kuu za Ligi huwa haiwekwi, hizi huwa ni kanuni ndogo za michuano. Nenda hata CAF hakuna sehemu wameweka utaratibu wa Top Score but wanajua kuna mfungaji bora nk. Kuna kanuni kuu na ndogo, kanuni ndogo zipo TFF na kanuni kuu za Ligi huwa zinakuwa Published.
Watu mnachanganya TOP SCORE vs GOLDEN BOOT.
Wote mnaweza kuwa Top Score lkn haiwezekani wote mpate Golden Boot kwenye michuano mingi.
Kwa Bongo Top Scores ni MAYELE 17 [emoji460]️
SAIDO 17 [emoji460]️
Ila Golden Boot atapata MAYELE kwa kuwa ana magoli machache ya penati.
Sheria za mpira na kanuni zake tunafuata za FIFA, wewe huna mpira wa kwako, sheria 17 za mpira ni za FIFA wewe huna za kwako!!.Yaani sijui nani katuroga!
Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele!
Kwanini yaani!
Eti ooh,
Kamati ndio itakuwa!
Kamati my foot!
Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu, itategemea zimepangwa kwa mtiririko upi,
Kwamfano FIFA, kombe la Dunia wao waliweka (kama magoli yamelingana) basi watatumia
1. Assist
2. Dakika chache za kucheza.
3. Magoli ya Penalties
Sasa hapa kwetu HAKUNA AJUAE!
Sawa ngoja kamati imchague Mayele au Saido
FIFA hawana kanuni acha uongo, Mashindano ndio hutoa kanuni.Sheria za mpira na kanuni zake tunafuata za FIFA, wewe huna mpira wa kwako, sheria 17 za mpira ni za FIFA wewe huna za kwako!!.
Kwa wanaoujua mpira kanuni hii tuliijua mwanzo wa msimu!! Kama unampenda Mayele, mpe tu pole na asubiri mwakani!!
Kabla haijauzwa uliwahi kupewa hela kutoka Bandarini?Kiatu Bei gani na kwa Dhahabu ipi au ya makinikia , Watanzania ni wajinga sana ,mnaacha kudadisi uuzwaji wa nchi kwa Waarabu pmbavu
AahaaaaKabla haijauzwa uliwahi kupewa hela kutoka Bandarini?
Labda wewe hujui.Yaani sijui nani katuroga!
Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele!
Kwanini yaani!
Eti ooh,
Kamati ndio itakuwa!
Kamati my foot!
Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu, itategemea zimepangwa kwa mtiririko upi,
Kwamfano FIFA, kombe la Dunia wao waliweka (kama magoli yamelingana) basi watatumia
1. Assist
2. Dakika chache za kucheza.
3. Magoli ya Penalties
Sasa hapa kwetu HAKUNA AJUAE!
Sawa ngoja kamati imchague Mayele au Saido
Kuna ligi kama marekani watu hawashuki madarajaSheria za soka ni 17 worldwide
KANUNI ZA MASHINDANO ndio tofauti kati ya nchi na nchi.
Kuna nchi ligi wanacheza kwa makundi, Nyingine kwa mfumo wa ligi moja kama Bongo.
Kuna ligi zingine mkifanana Point wanaangalia HEAD TO HEAD ndio bingwa anaamuliwa (SPAIN)
Kuna ligi wafungaji wakifanana wanapewa viatu wote (UINGEREZA + GERMANY)
Kuna ligi Wafungaji wakifanana wanaangalia Magoli machache ya Penalty.
Kuna ligi au michuano haina Golden boot.
Kwa Bongo, mkifanana Magoli, wanaangalia Mwenye magoli machache ya Penalty.
Paragraph ya mwisho, hiyo kanuni ni ya mwaka jana na imebadilika, ndo maana unaona kuna ugumu au ukimya juu ya bodi na TFF.Sheria za soka ni 17 worldwide