Ni Tanzania pekee mambo haya hutokea

Mkuu....
Hivi umeandika habari ama umbea..[emoji45]
Kama ni habari, mbona hakuna details za kutosha..[emoji15]
Ama ulikua unaongea na simu huku unandika...[emoji69]
 
Mkuu povu lanini bwanwaaaaa
Si umesoma na umeelewa japo kaweka maelezo mafupi. Halafu nyie si ndio mnajiita magriti thinka sada kwanini ushindwe kuelewa
 
Kwanza nilijua utanitaja kwenye ule uzi kwamba mimi ndie nimekuboa ulipo jiunga jf
 
Nikutajie nini mkuu kua na amani boss.
Ila ww komesha yako ni mondray ndio alikua anakuweza
 
Mkuu....
Hivi umeandika habari ama umbea..[emoji45]
Kama ni habari, mbona hakuna details za kutosha..[emoji15]
Ama ulikua unaongea na simu huku unandika...[emoji69]
[emoji124]
 
Ni Tanzania pekee kila jmoc tunafanya usafi wa mazingira, ila taka tuzitoazo ktk mifereji tunawekwa pemben ya mfereji. Baada ya muda urudi tena mferejini
 
ni Tz pekee mwenye cheti fake ndiye kiongozi anayewaongoza wenye vyeti halisi
 
Ni Tanzania pekee kila jmoc tunafanya usafi wa mazingira, ila taka tuzitoazo ktk mifereji tunawekwa pemben ya mfereji. Baada ya muda urudi tena mferejini
Ni tanzania pekee kwenye watu wanaotupa taka pembeni ya mfereji wakifikiri zitajitoa zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…