Ni Tanzania Pekee.......

Ni tanzania pekee, kumuita rafiki "mtukufu" ni kosa, kumuita kinyume chake pia ni kosa.
 
Utasikia afadhar yako wewe yaaani hunifikiii mimi wabongo hatari
 
Teh teh.....ni tz pekee watu wanaongoza kwa kupoteza kumbukumbu kila baada ya miaka mitano.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh ninyi watu
 
Ni Tanzania pekee ukimuomba namba mwanamke basi atajua unamtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…