Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Mar 16, 2017 #1 Ni Tanzania tu Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika *LIPA KWA M-PESA* Halafu pembeni wameandika *TAFADHARI ZIMA SIMU* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania sio wa Mchezo mchezo.
Ni Tanzania tu Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika *LIPA KWA M-PESA* Halafu pembeni wameandika *TAFADHARI ZIMA SIMU* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania sio wa Mchezo mchezo.
B BinAd JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 214 Reaction score 115 Mar 17, 2017 #2 Red Scorpion said: Ni Tanzania tu Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika *LIPA KWA M-PESA* Halafu pembeni wameandika *TAFADHARI ZIMA SIMU* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania sio wa Mchezo mchezo. Click to expand... Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu.
Red Scorpion said: Ni Tanzania tu Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika *LIPA KWA M-PESA* Halafu pembeni wameandika *TAFADHARI ZIMA SIMU* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watanzania sio wa Mchezo mchezo. Click to expand... Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Mar 17, 2017 Thread starter #3 BinAd said: Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu. Click to expand... Upo sahihi ... shell ni kampuni ya mafuta .... jina sahihi kwa kituo cha mafuta ni filling station... lakini kampuni ya shell haijafa mzee ni hapa bongo tu ndo huioni ila bado ina survive kwenye nchi za watu mkuu!
BinAd said: Hivi Sheli (SHELL) ina maana ya kituo cha mafuta? Navyojua mimi kampuni ya SHELL ilishafunga/kufa muda mrefu. Click to expand... Upo sahihi ... shell ni kampuni ya mafuta .... jina sahihi kwa kituo cha mafuta ni filling station... lakini kampuni ya shell haijafa mzee ni hapa bongo tu ndo huioni ila bado ina survive kwenye nchi za watu mkuu!
M Magwa Jr JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 560 Reaction score 616 Mar 17, 2017 #4 Ni kama margarine zote kuitwa blue band