Ni Tanzania pekee.

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima amepigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*

*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*

Ebu tupia na ya kwako tucheke wote..hii nchi ni yetu sote[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ni Tanzania pekee kuna binadamu wenye ubongo unaofeed tabia na matendo ya kipekee duniani (CCM brain)
 
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima amepigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*

*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*

Ebu tupia na ya kwako tucheke wote..hii nchi ni yetu sote[emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe na wewe huku ni verified member, am your Fb Friend, hongera mkuu
 
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima amepigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa*

*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*

Ebu tupia na ya kwako tucheke wote..hii nchi ni yetu sote[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa si pengine anauza hicho kitabu ndio apate huo mtaji mdogo wakuanzia? Pengine yeye ni muuzaji tu na si mmiliki wa hicho kitabu.
 
Musiangaike na uyu mtu kwasababu uyu anayeuza kitabu kidogo anaufahamu kwamba elimu Ni ufunguo wa maisha ,Sasa uyu jamaa anaokota vyupa hivyo ana future kweli uyu yaani aliyeandika hii story ,Sasa wee unabisha nini mi namfahamu bana izi sms anaindikiwa
 
Hata wewe umeandikiwa[emoji5]
 
Nchi pekee ambayo haiafectiwi na law of gravity
Nchi pekee ambayo dala dala hupita hewani
Nchi pekee ambayo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…