collinswilliam63
Member
- Oct 12, 2014
- 78
- 48
Ni taratibu gani natakiwa kuzifata pindi nikitaka kua importer wa finished goods.Nna plan ya kuimport some finished goods from Kenya na nlikua naomba msaada wenu kujua ni taratibu gan natakiwa kuzifata kabla ya kuwaza hili jambo.
Naomba msaada wenu
Naomba msaada wenu