Habari,
Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa masharti yafuatayo.
1. Atatukopesha fedha (Isiyokuwa na riba) tuizungushie kwenye kampuni yetu then tutairudisha baada ya miaka 3.
2. Kwa kuwa kampuni yetu inadeal na services, hivyo anataka hela atakazotukopesha zikae kwenye Account ya UTT. Hivyo tutatakiwa kufungua Acc ya UTT kwa jina la Kampuni, na tutakuwa tunatoa hela pale zikihitajika kwa shughuli za kampuni tu na si vinginevyo.
3. Ikitokea amepata changamoto inayohitaji hela, basi kila mwaka atakuwa anachukua 1/3 ya hela aliyotuazima (Mkopo usio na riba)
Maswali yangu ni:-
a. Ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa kisheria ili nisivunje sheria za uendeshaji wa kampuni.
b. Kwenye upande wa vitabu vya auditing, mikopo ya aina hii (Isiyokuwa na riba) na kutoka kwa mtu binafsi inaingia kwenye kundi gani?.
c. Fedha ambazo zitakuwa kwenye Account ya UTT yenye jina la kampuni, zitakuwa kwenye kundi gani katika vitabu vya auditing?. Je zitahesabika kama Asset au Running Capital?
d. Pindi Investor (Ndugu) akiwa anachukua hela zake alizotukopesha, je ndugu zetu wa TRA hawatataka zikatwe kodi wakati ulikuwa ni mkopo usiokuwa na riba?.
Majibu, mawazo na ushauri wenu utakuwa muongozo mkubwa sana kwangu.
Asanteni.