Chukua mkataba wa pango nenda TRA Kachukue Barua utakayoipeleka serikali za mitaa kujazwa kwa utambulisho.
Hiyo Barua atairudisha Tena TRA ili upewe TIN namba na Tax Clearance. Then utaenda halmshauri kuchukua leseni ya biashara si zaidi ya 100,000 kwa mwaka.
Hapo uko tayari kuanza biashara bila kutafutana ubaya na "NASEMA UONGO NDUGU ZANGUUUUUU"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.