Ni taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa ili kufungua kiwanda kidogo cha chakula cha kuku?

Ni taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa ili kufungua kiwanda kidogo cha chakula cha kuku?

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
4,730
Reaction score
6,736
Ndugu wadau wa ujasiriamali kwa wenye majibu ya uhakika naomba kufahamishwa mbali na masuala ya uwepo wa eneo, mtaji, leseni ya biashara ya TRA na usajili wa BRELA ni taratibu zipi zingine zinatakiwa kufuatwa ili kuweza kufungua kiwanda kidogo cha chakula cha kuku chenye uwezo wa kuzalisha kama tani 40-50 kwa siku?
 
Back
Top Bottom