tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
ANAOMBA MSAADA
Niwapo hedhi naumwa sana na tumbo hasa maeneo ya nyonga pia lina jaa sana,miguu inajaa nahisi kuchoka muda wote had kumaliza siku, pia nakuwa na hasira kupita kias nisaidien plz!