Ni tatizo gani linakusumbua umekosa utatuzi mpaka sasa?

HONEST HATIBU

Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
64
Reaction score
158
Thread hii iwe msaada kwa wengine

Hebu tushare najua kuna muda unakosa mtu wakushare nae baadhi ya vitu hebu.

Tutumie muda huu kushare vile vitu vinavyotusibu na wataalamu zaidi watusaidie
 
nyama ya bata, sijala nna miaka. mara ya mwisho nilimla zenji.
 
Umasikini mkubwa wa Tanzania na sehemu kubwa ya mtu mweusi ni jambo linalo niumiza sana.
 
Ugonjwa wa stroke uliomkumba Baba yangu miaka miwili iliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…