Ni thread gani iliyochangiwa kwa wingi hapa JF?

Ni thread gani iliyochangiwa kwa wingi hapa JF?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Ni wazo tu limenijia, Kama unaweza kujua ni thread gani imepata wachangiaji wengi kwenye jukwaa lolote.
 
1. Wa mwisho ndio mshindi.
2. Uzi wa kubet
3. Ki masihara
4. Nyuzi za timu za football
5. Nk
 
1. Wa mwisho ndio mshindi.
2. Uzi wa kubet
3. Ki masihara
4. Nyuzi za timu za football
5. Nk
Hazifikii kwenye hiyo ya kulike

Wamwisho ndo mshindi ni 70,000+ tu,
Wakubet ni 47,000+ tu, kimasihara ni 26,000 tu buti hiyo ya like ni 1.2 million
 
ila kula tunda kimasihara na wazee wa kubet n balaa mpk ilifungiwa
 
Back
Top Bottom