Ni Tiba gani ya Kawaida / Kienyeji isiyo ya Gharama inayofaa kuwafanyia Wazee wenye Matatizo mbalimbali ya Migongo hata wakiwa Majumbani tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naanza kwa Kutanguliza Shukran Kwenu Wataalam ila msio Madaktari na Madaktari Wenyewe na hata Watu Wengine wenye Uelewa na Uzoefu juu ya Matatizo haya ya Migongo ( hasa Kusagika au Pingili kuhama au Pingili kulegea ) yanayowakumba 85% ya Wazee ( Watu Wazima ) kwa sasa.
 

Pole sana,subiri waamke.
 
Tiba isiyo na gharama itakugharimu zaidi. Kuna hivi vidonge pamoja na dawa ya ku spray na kupaka. Cheki gharama zake kama urazimudu mpigie muuzaji. Mimi zimeniponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…