N Nikisema Member Joined May 22, 2014 Posts 41 Reaction score 21 Jun 3, 2014 #1 Naomba mnisaidie kitaalam, mtoto mwenye upungufu wa madini ya chuma apewe vyakula gani ? Msaada wa kitaalamu please.
Naomba mnisaidie kitaalam, mtoto mwenye upungufu wa madini ya chuma apewe vyakula gani ? Msaada wa kitaalamu please.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,537 Jun 3, 2014 #2 Nikisema said: Apewe vyakula gani ,msaada wa kitaalam please Click to expand... Maini na majani ya maboga sana mboga za majani jamii ya mikunde
Nikisema said: Apewe vyakula gani ,msaada wa kitaalam please Click to expand... Maini na majani ya maboga sana mboga za majani jamii ya mikunde
carmel JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,836 Reaction score 265 Jun 11, 2014 #4 argi plus! google uone faida zake! ukiitaka nicheki