Kuna hawa team ya kijani hawa. Hata FIFA wanaimiliki wao na wao ndo wanachagua hadi marefaree!
Mkuu wao hua anawaambia marefaree, nimewaajiri mimi sasa ole wenu muwape ushindi team pinzani!
Siku hizi hata hawataki kucheza kabisa. Yani wameamua kununua wachezaji wa team pinzani zote ili kusiwe na ushindani dhidi yao.
Hawajui ligi ikikosa ushindani inapoteza mvuto na ubora!
Alafu nasikia wakinunua mchezaji leo, kesho wanampatia ucaptain kabisa, malegend wa team wanabaki wamezubaa!
Anyway, wasipotafuta Suluhu Pole pole team itagonga Jiwe na kusambaratika kabisa panapo Majaliwa!