Freetown
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 882
- 78
Jamani naomba kuuliza ni timu ngapi zinashiriki ligi kuu Tanzania bara? kwani kwenye internet nasoma tu kuwa timu fulani imeshinda lakini hawaandiki msimamo wa ligi ulivyo kama zilivyo ligi nyingine.
Jamani naomba tuwekeeni hapa nasi tujue kinachoendelea
Jamani naomba tuwekeeni hapa nasi tujue kinachoendelea