hata mungu alimleta kila nabii kwa wakati wake ndo maana akumleta yesu kipindi cha mussa au musa kipindi cha daudi kila nabii na wakati wake
hata vitabu vya mungu vilikuja kila kimoja kwa wakati wake zaburi, agano la kale, mpaka agano jipya.
ccm wametufanyia suprise tena kubwa coz hakuna mtu yeyote aliekuwa anafikilia abt magufuli wote tulijua lowassa, membe, jaji ramadhan, mwandosya, kwa wanawake kidogo Dr migilo bt ccm wametufanyia suprise tena kubwa kwa magufuli ameokota pochi la fedha kariakoo mtaa wa kongo
sasa ni zamu yetu ya kuwafanyia big suprise kwa mtu ambae awajamtalajia kwani naamini ccm wamejiandaa kupambana na Dr slaa .
tusiwe kama lowasa intelligence waodanganywa na tafiti za magazeti na taasisi mbalimbali kuwa lowassa anakubalika ndani na nje ya ccm
Dr slaa alikuwa kipindi cha mussa dhama za kina kikwete, Makamba mkubwa hizi ni za yesu dhama za kina magufuli, nape, kinana
tunatakiwa kutumia makombola ya s -300 dhidi ya kibomu cha mkono cha ccm Dr slaa is out of pictures for 5 years na ni so yesterday kwa magufuli aliekuwa main stream hapa tumwekee lissu tu