Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)


Kweli tuko tofauti,ndo mana hata YESU au nabii ISSA alifanya mengi ya kushitua watu kujua kweli ilipo lakini watu walimkataa na kumsulubisha msalabani.
 
Leo ni Tundu Lissu day, ilikuwa arejee, leo, japo hakurejea, tunamuadhimisha kwa kumtafakari kwa sababu


Leo siku ya tarehe 7/Sept. 2019 ni siku ya kumbukumbu ya miaka miwili toka Mh.Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Mpaka leo bado wasiojulikana hawa bado hawatajulikana na uchunguzi mkubwa, makini na mkali wa Jeshi letu adilifu la polisi, unaendelea kuwabaini wasiojulikana hawa, hivi sasa kuna mashuhuda wawili muhimu sana, wanasubiriwa wao tuu kuhojiwa ndipo taarifa rasmi ya polisi kuhusu maendeleo ya uchunguzi huu ndipo ilatolewa.

Tuvute subra.

Get well soon Mhe. Tundu Lissu and welcome back home.

P
 
Kiongozi ulisema neno.
 
 
Hilo jamaanilisariti likubwa la nchi hii! Nikisikia hilo jina huwa nahisi kutapika! Hapo zsmani mi nilimkubari sana, ila lilipo anza kutuhujum nakutembea kwa wazungu likitukana nchi! Shalidharam mazima.

Huyo jamaa anatakiwa afe kwamawe si kwa risasi km hapo awali.
 
Lisu anatakiwa auawe kwa mawe!! Msariti mkubwa wa nchi hii, ameongea hadharani kuhusu madini na mikataba, aliongea hadharani kuhusu ndege iliyokamatwa na mkulima na kesi ya stelling company vs serikari!
Huyo akija safari hii atakufa kifo cha kupigwa mawe na Raia, hakuna cha police wala mgambo!
Lisu hafai, ametukana nchi huko kwa wazungu wake! Akae hukohuko.
Nasema atakufa kwa mawe.
 
Unajiskia kutapika unapata ujauzito ukimuona Lisu?
 
lisu huyuhuyu aliye m-endorse fisadi lowasa anaweza kupambana na mafisadi?!
 
tundu lisu ana akili lakin ana jazba sana hafai
Tl ana jaziba kuliko mzee meko??

Tukimpa T Lissu uraisi mwaka mmoja tutapata katiba mpya, na hilo ndo muhimu kuweka nchi yetu kwenye ramani ya demokrasia haki na usawa kwa kila raia!!
Mambo ya hovyo mauwaji dhuma na uonevu vitapotea, watu watafuata sheria hata mapolisi!!
Huyu Bwn TLissu ahongeki ndo maana wakaamua wampige risasi!!
The right person for presidence of Tz!!
 
Hivyo waliompiga risasi un Waliompiga risasi unafahamiana nao?Sababu zako na zao za Mh.Lissu kustahili kifo zinafanana?Nini kosa lake hadi astahili adhabu Kali kiasi mile nanyi mnataka kumuongezea dose?Tuendelee kuwasumbua POLICE kuwatafuta wasiojulikana?Unaweza kuwasaidia katika uchunguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…