Ni uamuzi wangu rasmi wala sijashurutishwa na mtu yeyote.

Ni uamuzi wangu rasmi wala sijashurutishwa na mtu yeyote.

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Wakuu Habarini za mida hii,
Ni matumaini yangu kuwa muwazima na mnaendelea vizuri na mishe za hapa na pale.Sasa Nimeamua rasmi kumpa mwanangu Jina la MWAKUPATWA, ikiwa kama ishara ya kumuunga mkono yule raia aliyeishukuru Serikali kwa kupeleka tukio la kupatwa Kwa jua jijini Mbeya.

Kama yupo mtu anaungana na mimi basi comment hapa Chini ili twende Sawa.
 
Hivyo mwanao nae amekosa elimu na maarifa hata ya reasoning kama huyo jamaa?

Anyway ni maamuzi yako.
 
Kwa nini hilo Jina usijiite mwenyewe? Huo ni unyanyasaji kwa watoto kwani jina huendana na maisha pia YA mwenye nalo. Uliza walopewa majina YA Tabu, shida na Masumbuko watakweleza maisha yao. Mwanao akipatwa na lolote kwenye maisha yake ikiwemo kubakwa, kunajisiwa, kufungwa jela kwa kusingiziwa, kuporwa uraia kwa chuki NK usishangae chanzo utakuwa wewe. MWAKUPATWA?
 
Huyo atakuwa bongolala, ki.laza, kichwa nazi, kihiyo.. maandazi, desa, lijinga, badili hilo jina ASAP
 
Kwa nini hilo Jina usijiite mwenyewe? Huo ni unyanyasaji kwa watoto kwani jina huendana na maisha pia YA mwenye nalo. Uliza walopewa majina YA Tabu, shida na Masumbuko watakweleza maisha yao. Mwanao akipatwa na lolote kwenye maisha yake ikiwemo kubakwa, kunajisiwa, kufungwa jela kwa kusingiziwa, kuporwa uraia kwa chuki NK usishangae chanzo utakuwa wewe. MWAKUPATWA?
Maneno huumba
 
Back
Top Bottom