Ni ubongo uliojaa makamasi tu ndiyo unaweza kuamini kuwa Marumo Galants FC ni Bora kuliko Yanga SC

Labda haisifiwi ili kuitisha Yanga, huenda inasifiwa ili Yanga ikiifunga ionekane imeifunga timu ngumu kufuta idea ya baadhi ya watu ya kombe la looser.
 
Labda haisifiwi ili kuitisha Yanga, huenda inasifiwa ili Yanga ikiifunga ionekane imeifunga timu ngumu kufuta idea ya baadhi ya watu ya kombe la looser.
Kombe la looser ndiyo kombe gani mzee??
Nyinyi mnaalo kwenye kabati lenu.???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kocha anayesema kuwa wapinzani wake ni wepesi huyo ni mbumbumbu tu lakini kocha mwenye profession yake hawezi kusema wapinzani wake ni dhaifu zunguka duniani kote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
1. Kocha wa Vipers alisema hajaona mchezaji wa Simba mwenye kipaji ambacho kitakua na madhara kwao, akala vya nguruwe nyumbani na ugenini
2. Kocha wa Horoya alisema Simba ni timu yenye rekodi mtandaoni tu, akala wiki 7-0
2. Kocha wa Wydad alisema ameijua Simba juzi tu ilipocheza na Raja, akala cha nguruwe, akaenda kuponea kwenye matuta
 
Ni ubongo wenye usaha pekeake ndo utaamini Yanga atamtoa Marumo kwenye hatua hii.
 
Mbona husemi kocha wa marumo anaizungumziaje Yanga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…