Hahahaa. Hakika!
Angalia muda niliopost na uangalie muda aliopost yeye huyo na ndipo utagundua kuwa NALIA NGWENA maneno yangu yanatumiwa mpaka na wachambuzi.[emoji91]
Watapigwa vibaya mno.Nasema hivi Marumo Gallants wapo vizuri ila kukutanishwa na Yanga ndipo walipoingizwa cha kike
Baada ya mpira kuisha uje ule matapishi yako.Ni ubongo wenye usaha pekeake ndo utaamini Yanga atamtoa Marumo kwenye hatua hii.
Tukutane saa 12 mkuuBaada ya mpira kuisha uje ule matapishi yako.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni vyema kuweka akiba manenoLeo wataangalia mpira huku wamejificha
Mkuu muda huu ndio naanza kujiandaa kwenda uwanjani
Mimi au wewe?? Tulia hivyo hivyo na leo yanga wanachukua kombe lenu.Ni vyema kuweka akiba maneno
Kila la heri mkuu njoo utazame mpira burudani, mpira swafi.Mkuu muda huu ndio naanza kujiandaa kwenda uwanjani
Huwezi amini aise Ninazungumza kwa kujiamini kabisa kuwa Leo yanga itashinda kwa ushindi mnono.Ndugu Leo utatoa machozi kama ID yako inavyosadiki nalia NGWENA:
Sawa boss.Endeleeni kupiga kelele na kulizungumnzia sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bahlabane ba Ntwa!!!Bahlabane ba Ntwa..
Kwako Carrasco putinn mitambo ipo Sawa nadhani unanipata kwa uzuri kabisa.
Intsha yaseLimpopo izokwenza into embi kakhulu kubantu
laba bacabanga ukuthi iRivers United le inqobo nje uma enguthisha ngeke bakholwe, abazazi izingane zasepolokwane.Bahlabane ba Ntwa!!!
uvele wehlise umoya kukhona abazoshaywa okwesagila mina ngihlezi ngivule amehlo!!!!
Dah nimetoka kapa hapa [emoji16]laba bacabanga ukuthi iRivers United le inqobo nje uma enguthisha ngeke bakholwe, abazazi izingane zasepolokwane.
Bahlabane ba Ntwa..
Kwako Carrasco putinn mitambo ipo Sawa nadhani unanipata kwa uzuri kabisa.
Intsha yaseLimpopo izokwenza into embi kakhulu kubantu
Hata muongee lugha gani kipigo kipo pale pale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abemi kufuneka bazilungiselele ukufa okumasikizi
BAHLABANE BA NTWA BA UTOPOLO
Huwezi amini aise Ninazungumza kwa kujiamini kabisa kuwa Leo yanga itashinda kwa ushindi mnono.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app