Ni ubunifu au 'Mis yuzi?'

Ni ubunifu au 'Mis yuzi?'

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Hii ni hatari.
 

Attachments

  • helmet.jpg
    helmet.jpg
    15.4 KB · Views: 250
attachment.php


Ha ha ha hakuna aliyevaa helmeti, ispokuwa pikipiki ndio imevaa helmeti.
 
jamani kama ndo namna ya kuppuka na ajali hiyo ni jokes !
 
akili yake imepoteza uwezo wa kunga'amua akitendacho.
 
Wanajaribu kuangalia umakini wa polisi wa usalama barabarani!
 
yuko sahihi, hata helmet zenyewe ni za plastic
 
Woow....Mbongo jamani !...Huo ni uharibifu mkubwa, maana hiyo itasaidia kumuumiza zaidi pindi akipata ajali.
 
Back
Top Bottom