Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 284
Hii niliisikia toka kwa mdada flan mwenye ndoa yake... Kwamaba yey akikwaruzana na mumewe na tatizo kwa wazee kwa utatuzi... Anaambiwa awe mtulivu..wamaume wengi huanza kuiona thamani halisi ya ndoa wakiwa na miaka 35 na kuendelea..kabla ya hapo wengi wanaoa ila akili zao bado zinatamani yale walioyaachacha nje na huku bado ndoa wanaitaka vilevile.. Wakishafikia umri tajwa..wanatulia...!!
Sijafika huko bado...udadisi wangu katika kampani za jamaa zangu( walio juu na walio chini ya miaka 35 waliopo katika ndoa) naona dalili fulani ya ukweli..!!
Wakulu...Imekaaje hii??
Sijafika huko bado...udadisi wangu katika kampani za jamaa zangu( walio juu na walio chini ya miaka 35 waliopo katika ndoa) naona dalili fulani ya ukweli..!!
Wakulu...Imekaaje hii??