Ni udadisi tu!!!!


Hukutumika vizuri !!!! na je mkeo ulimkuta bikra😱hwell:
 
Thamani ya ndoa ni wakati wote; ukiipa mipaka ya muda na umri wewe umeingia kwenye ndoa si kwa maana ya kuwa kwenye ndoa !

Ni maoni ya watu wenye uzoefu na maisha ya ndoa... haimaanishi tunaweka kuweka mipaka!!! neno lao si sheria!!
 
bora umenifungua njia,
kama mwanaume anataka kunioa nitakuwa naangalia umri wake,
kama yuko above 35 ruksa!,
kama yuko below 35 hell to the no,
ndio hapo nipate above 35 aje anitende! mbona nitatia akili za kuchanganywa na kuambiwa vizuri zaidi...LOL:A S shade:
 
my my...what is going on here?
 
roselyn unajidanganya

i know hun,
mie nahisi nitafanya trial and error mpaka nimpate mr right...
kuna signature ya mtu hapa JF sijui ni salha ama nani nimeipenda kweli...
ile inasema 'a lady has to kiss many frogs before meeting her prince charming'...:A S shade:
 
i know hun,
mie nahisi nitafanya trial and error mpaka nimpate mr right...
kuna signature ya mtu hapa JF sijui ni salha ama nani nimeipenda kweli...
ile inasema 'a lady has to kiss many frogs before meeting her prince charming'...:A S shade:

mmh mwenzangu unaweza ku-kiss hao vyura mpaka lips zikaharibika b4 u get the right person. hatari kweli!!!
 
To be honest...wanaume waliooa wakezao wakifika miaka 35 tena wakiwa wameshazaa basi wanawaona kama vile hawanathamani. Wanaume waliowengi hata kama wana miaka 35+ hupendelea kutoka nje ya ndoa zao. Hii kitu inapelekea wake zao kunung'unika na siku vikiwazidi nao hutoka kwenda kuchapika nje!

Mfano mzuri ni rafiki yangu ambaye anajimegea mke wa mtu mwenye umri wa miaka 42 na watoto wa 4. Mume wa huyo mama anaumri wa miaka 55 lakini yeye anatoka na mademu wa clubs wa umri kati ya 23-25. Huyu jamaa yangu yeye ana umri wa miaka 31.

Mimi nadhani kutulia kwa mtu katika ndoa ni tabia tu.

Habari ndiyo hiyo!:A S-heart-2:
 
Age pekee yako si kigezo tosha cha utulivu, japo ni kiungo muhimu. Kikubwa nadhani ni subra na ustahimilivu alojaliwa huyo mja wa Mola.

Nimewahishuhudia wanandoa wanatengana at 50+. So, hakuna formula katika hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…