Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Hope mpo swalama,

Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.

Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.

Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
 
Ngoj waje
 
Ahaa we aseno[emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Acha ushamba arsenal wanachezea mpira man united wanacheza mpira hiyo ndo tofauti
 
Una stress kama magu... Nenda kale limao upunguze wenge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…