Ni Ugonjwa au kujiendekeza??

Ni Ugonjwa au kujiendekeza??

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Habar wakuu

Nimekuwa na shida kubwa sana ya kuwachukia wasichana wadodo wadogo under 30.. yaani hata sitamani kuwa nao kwenye mahusiano.

Najikuta tu nampenda majimama na masingle mother je hii itakuwa ni Ugonjwa au kujiendekeza tu?.

Nahitaji msaada na ushauri wenu mm Niko na 30yrs
 
Back
Top Bottom