Ni Ugonjwa au......

Ni Ugonjwa au......

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
397
Naombeni ufumbuzi wa tatizo langu la kutoa vitu kama manii au usaha sina uhakika, lakini ni kama uji mwepesi mweupe kabla au baada ya kukojoa au haja kubwa. M.oo haina maumivu yeyote.
 
Enzi za kuogopa kumwona Doctor zimepitwa na wakati. Hata hivyo uliwahi kushikwa na ugonjwa wa zinaa hapo kabla na ukakaa nao kwa muda mrefu. Ni vizuri ukamwona Dr kwa ushauri zaidi.
 
nadhani wewe manii imejaa sana.unahitaji ku-do
. jipange
 
Muone dk mapema ndugu yangu,usije ukajialibia uzazi bure

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
Naombeni ufumbuzi wa tatizo
langu la kutoa vitu kama manii au usaha sina uhakika, lakini ni kama uji
mwepesi mweupe kabla au baada ya kukojoa au haja kubwa. M.oo haina
maumivu yeyote.

Dogo,kimbia hospitali fasta,lazima itakuwa U.T.I hyo,isipotibiwa mapema ina staili hzo sana,wahi kabla haijakuletea matatizo zaidi ya kibofu,kwa maelezo zaidi fuata ushauri wa daktari MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Note:Sio tatizo ni hali ambayo hutokea kwa wanaume wanapokaa muda mrefu bila ya kufanya tendo la ndoa,mara nyingi hutokea unapokua unajisaidia haja kubwa,ukijikamua sana kama zimejaa kama alivyosema 2013 lazima utaona zinamwagika,ni body mechanism ambayo inawatokea hata wanyama,kama Ng'ombe Paka,Mbwa n.k.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom