FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu ambayo unaweza kuangalia mechi ya mpira bila kuchoka
Utafiti huu ni wangu ukitaka kuzalisha na kufungua kiwanda lazima uombe hati miliki yangu.NIMR nawakaribisha mfanye utafiti,hauchukui hata dakika kupata malighafi. Asante.
NB: Ukipata nafuu wa kumshukuru ni Mungu mwenye mimea,Mimi naomba NIMR waniingize ktk tafiti zao,ugunduzi huu nimetumia miaka.