ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Wasalaam wapendwa.
Kununua nguo kila mwezi,
Kuchangia kila harusi wakati una watoto wawili tu
Kununua gari badala ya kiwanja
Kunywesha watu bia kwenye baa
Kupanda tax wakati huna mizigo wala huna haraka,badala ya daladala.
Kununua mapambo ya gharama kwa ajili ya shughuli isiyo kuhusu.
Kupika chakula kingi kuliko unvyoweza kula.
Kujifanya unajua sana kuhonga wakati mama yako analala njaa kijijini.
Huo ni uharibifu wa fedha,tumia fedha kwa uangalifu huwezi kumiliki kila kitu kizuri duniani.
NB:toa sadaka kidogo kanisani/msikitini,kubwa kwa muhitaji na Mungu wako atalibariki kapu lako mpaka ushangae.