Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Choco-late

Member
Joined
Apr 10, 2016
Posts
28
Reaction score
14
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira rahisi kuliko wakati wowote.

Ni Chadema hao hao wanaolilia uhuru wa habari wakati wao wenyewe wamekuwa wakiuminya kwa kufanya vitu ambavyo vimewawia vigumu hata wanahabari kutekeleza majukumu yao wakiwa nao kwa kuhofia usalama wao. Suala hilo linatokana na ukweli kwamba wakati wa uzinduzi wa kampeni zao pale Jangwani jijini Dar es Salaam, Chadema waliwatimua bila huruma waandishi waliokuwapo hapo wakitekeleza majukumu yao kwa madai kuwa wamewahujumu.

Ukiambiwa hawa watu wana akili fupi nadhani utaelewa nini namaanisha; unawezaje kumtimua mwandishi ambaye chombo chake kinaripoti moja kwa moja ‘live’ tukio hilo na wewe hapo hapo unamtimua huku ukihamasisha wafuasi wako wawapige ili kuwaongezea mwendo wa kutoka eneo hilo.

Kama kawaida yao hawakukomea hapo, katika ilani yao ambayo kwa asilimia 95 wamechukua mambo yaliyopo kwenye katiba na kuahidi kuyatekeleza lakini wakiwaaminisha Watanzania ni matarajio na vipaumbele vyao watakavyofanya wakishika dola.

Katika ilani yao Ukurasa wa 18, wameandika: Kwa kuwa Chadema inaamini katika fikra huru na mawazo mbadala kama msingi wa ujenzi wa uchumi shirikishi na hivyo kuleta maendeleo endelevu katika taifa; hivyo basi, Serikali ya Chadema itafanya mambo yafuatayo katika eneo la uhuru wakujieleza:-

a. Itahakikisha kwamba kila mwananchi anakuwa na uhuru kamili wa kueleza fikra zake, kupata na kutoa habari, kukusanyika na kujiunga na kikundi au chama chochote kwa hiari na utashi wake.

Hivi leo kusingekuwa na uhuru wa watu kujieleza watu wangekuwa wanapata wapi taarifa/habari za makundi ya watu na mtu mmoja mmoja kama wanasiasa, madaktari, wafanyabiashara, waendesha bodaboda, mama lishe nk? Kusingekuwa na uhuru wa kukusanyika, wangefika walipo sasa? Kusingekuwa na uhuru wa watu kujiunga na kikundi au chama leo hii kusingekuwa na utitiri wa vyama vya siasa, vyama vya kuweka na kukopa (Saccoss) au vyama mbalimbali vyenye mlengo tofauti ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sharia. Ni kwa sababu uhuru huo upo ndiyo maana

b. Itahakikisha kwamba, vyombo vyote vya habari; vya umma na binafsi, vinakuwa na uhuru wa kutafuta na kutoa habari bila upendeleo. Hili nalo ni tatizo jingine ambalo Chadema wameamua kujifanya hawalioni au huenda hawalijui.

Vyombo vya habari havijawahi kukosa uhuru wa kutafuta na kutoa habari ndiyo maana taarifa katika magazeti, Televisheni, radio, blogu na vyombo vingine zinafanana kimatukio kulingana na wakati na nyingine hazifanani. Na hii kwa sababu tu kila mtu/chombo kinatafuta habari kwa namna yake ili mradi hakivunji sheria. Sheria inavyosema kuhusu uhuru kutoa maoni na kupata habari Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 inasema:

(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Hayo ni mambo yaliyopo kisheria na yameendelea kutekelezwa tangu uhuru, sasa ni uhuru gani wanaoutaka Chadema, au wa watu kuwaoza watoto wao wa kiume kwa wanaume wenzao?
 
Huo ndio uhuru anaounadi mgombea wao. Ambao unamkosea Mungu
 
Mmh! Hivi StarTv na BBC walipigwa fine ya mil 25 kwasabb gani vile?

Mwandishi Kabendera alipewa kesi fake kwa kosa gani vile?

Azory Gwanda alitekwa mchana kweupe kwasabb gani vile?

Kuna siku pale ikulu jiwe aling'aka kuwa "not to that extent", akiwaambia akina nani?
 
Kama hujui maana ya uhuru wa kujieleza au kumueleza kiongozi wako usichokubaliana nae basi rudi shule
 
Swala sio kujieleza..approach ni tatizo..kuna ushabiki unaochochea violence..Kila kitu ni violence! Kuna njia nyingi za kujieleza bila kuinstigate violence. Kujieleza hakuhitaji ukorofi, uvunjifu wa amani wala vurugu.

Kama mtu yeyote anajiita kiongozi, au anataka uongozi tena utakuta ni 'msomi'..halafu anashindwa kutumia 'shule yake' kufikisha ujumbe wake kwa jamii au popote pale bila kuhamasisha vurugu basi halina mjadala mkuu ARUDI SHULE tu.
 
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira rahisi kuliko wakati wowote.

Ni Chadema hao hao wanaolilia uhuru wa habari wakati wao wenyewe wamekuwa wakiuminya kwa kufanya vitu ambavyo vimewawia vigumu hata wanahabari kutekeleza majukumu yao wakiwa nao kwa kuhofia usalama wao. Suala hilo linatokana na ukweli kwamba wakati wa uzinduzi wa kampeni zao pale Jangwani jijini Dar es Salaam, Chadema waliwatimua bila huruma waandishi waliokuwapo hapo wakitekeleza majukumu yao kwa madai kuwa wamewahujumu.

Ukiambiwa hawa watu wana akili fupi nadhani utaelewa nini namaanisha; unawezaje kumtimua mwandishi ambaye chombo chake kinaripoti moja kwa moja ‘live’ tukio hilo na wewe hapo hapo unamtimua huku ukihamasisha wafuasi wako wawapige ili kuwaongezea mwendo wa kutoka eneo hilo.

Kama kawaida yao hawakukomea hapo, katika ilani yao ambayo kwa asilimia 95 wamechukua mambo yaliyopo kwenye katiba na kuahidi kuyatekeleza lakini wakiwaaminisha Watanzania ni matarajio na vipaumbele vyao watakavyofanya wakishika dola.

Katika ilani yao Ukurasa wa 18, wameandika: Kwa kuwa Chadema inaamini katika fikra huru na mawazo mbadala kama msingi wa ujenzi wa uchumi shirikishi na hivyo kuleta maendeleo endelevu katika taifa; hivyo basi, Serikali ya Chadema itafanya mambo yafuatayo katika eneo la uhuru wakujieleza:-

a. Itahakikisha kwamba kila mwananchi anakuwa na uhuru kamili wa kueleza fikra zake, kupata na kutoa habari, kukusanyika na kujiunga na kikundi au chama chochote kwa hiari na utashi wake.

Hivi leo kusingekuwa na uhuru wa watu kujieleza watu wangekuwa wanapata wapi taarifa/habari za makundi ya watu na mtu mmoja mmoja kama wanasiasa, madaktari, wafanyabiashara, waendesha bodaboda, mama lishe nk? Kusingekuwa na uhuru wa kukusanyika, wangefika walipo sasa? Kusingekuwa na uhuru wa watu kujiunga na kikundi au chama leo hii kusingekuwa na utitiri wa vyama vya siasa, vyama vya kuweka na kukopa (Saccoss) au vyama mbalimbali vyenye mlengo tofauti ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sharia. Ni kwa sababu uhuru huo upo ndiyo maana

b. Itahakikisha kwamba, vyombo vyote vya habari; vya umma na binafsi, vinakuwa na uhuru wa kutafuta na kutoa habari bila upendeleo. Hili nalo ni tatizo jingine ambalo Chadema wameamua kujifanya hawalioni au huenda hawalijui.

Vyombo vya habari havijawahi kukosa uhuru wa kutafuta na kutoa habari ndiyo maana taarifa katika magazeti, Televisheni, radio, blogu na vyombo vingine zinafanana kimatukio kulingana na wakati na nyingine hazifanani. Na hii kwa sababu tu kila mtu/chombo kinatafuta habari kwa namna yake ili mradi hakivunji sheria. Sheria inavyosema kuhusu uhuru kutoa maoni na kupata habari Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 inasema:

(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Hayo ni mambo yaliyopo kisheria na yameendelea kutekelezwa tangu uhuru, sasa ni uhuru gani wanaoutaka Chadema, au wa watu kuwaoza watoto wao wa kiume kwa wanaume wenzao?
Mazuzu ya ccm nyie.
 
Tunapaswa kuwa makini sana kiukweli..
Acha porojo,mshauri ndugu yako aruhusu mdahalo.ben saa 8 alihoji Nini vile?bunge sio live,gazeti Tanzania daima je??hiyo ni mifano michache.alifungia siasa miaka 5,yako wapi??saa izi anapiga magoti kuomba kura.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira rahisi kuliko wakati wowote.

Ni Chadema hao hao wanaolilia uhuru wa habari wakati wao wenyewe wamekuwa wakiuminya kwa kufanya vitu ambavyo vimewawia vigumu hata wanahabari kutekeleza majukumu yao wakiwa nao kwa kuhofia usalama wao. Suala hilo linatokana na ukweli kwamba wakati wa uzinduzi wa kampeni zao pale Jangwani jijini Dar es Salaam, Chadema waliwatimua bila huruma waandishi waliokuwapo hapo wakitekeleza majukumu yao kwa madai kuwa wamewahujumu.

Ukiambiwa hawa watu wana akili fupi nadhani utaelewa nini namaanisha; unawezaje kumtimua mwandishi ambaye chombo chake kinaripoti moja kwa moja ‘live’ tukio hilo na wewe hapo hapo unamtimua huku ukihamasisha wafuasi wako wawapige ili kuwaongezea mwendo wa kutoka eneo hilo.

Kama kawaida yao hawakukomea hapo, katika ilani yao ambayo kwa asilimia 95 wamechukua mambo yaliyopo kwenye katiba na kuahidi kuyatekeleza lakini wakiwaaminisha Watanzania ni matarajio na vipaumbele vyao watakavyofanya wakishika dola.

Katika ilani yao Ukurasa wa 18, wameandika: Kwa kuwa Chadema inaamini katika fikra huru na mawazo mbadala kama msingi wa ujenzi wa uchumi shirikishi na hivyo kuleta maendeleo endelevu katika taifa; hivyo basi, Serikali ya Chadema itafanya mambo yafuatayo katika eneo la uhuru wakujieleza:-

a. Itahakikisha kwamba kila mwananchi anakuwa na uhuru kamili wa kueleza fikra zake, kupata na kutoa habari, kukusanyika na kujiunga na kikundi au chama chochote kwa hiari na utashi wake.

Hivi leo kusingekuwa na uhuru wa watu kujieleza watu wangekuwa wanapata wapi taarifa/habari za makundi ya watu na mtu mmoja mmoja kama wanasiasa, madaktari, wafanyabiashara, waendesha bodaboda, mama lishe nk? Kusingekuwa na uhuru wa kukusanyika, wangefika walipo sasa? Kusingekuwa na uhuru wa watu kujiunga na kikundi au chama leo hii kusingekuwa na utitiri wa vyama vya siasa, vyama vya kuweka na kukopa (Saccoss) au vyama mbalimbali vyenye mlengo tofauti ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sharia. Ni kwa sababu uhuru huo upo ndiyo maana

b. Itahakikisha kwamba, vyombo vyote vya habari; vya umma na binafsi, vinakuwa na uhuru wa kutafuta na kutoa habari bila upendeleo. Hili nalo ni tatizo jingine ambalo Chadema wameamua kujifanya hawalioni au huenda hawalijui.

Vyombo vya habari havijawahi kukosa uhuru wa kutafuta na kutoa habari ndiyo maana taarifa katika magazeti, Televisheni, radio, blogu na vyombo vingine zinafanana kimatukio kulingana na wakati na nyingine hazifanani. Na hii kwa sababu tu kila mtu/chombo kinatafuta habari kwa namna yake ili mradi hakivunji sheria. Sheria inavyosema kuhusu uhuru kutoa maoni na kupata habari Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 inasema:

(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Hayo ni mambo yaliyopo kisheria na yameendelea kutekelezwa tangu uhuru, sasa ni uhuru gani wanaoutaka Chadema, au wa watu kuwaoza watoto wao wa kiume kwa wanaume wenzao?
Unauliza kuhusu Uhuru wanaohubiri chadema!!

Haya Ngoja nikushauri utaelewa vizuri, badili id yako, weka verified id alafu tuma tu mtandaoni au humu kwa jinsi gani magufuli kateua ndugu zake kuwa katibu mkuu wizara ya fedha na kaipa tender Maganga construction kuwa wajenzi wa uwanja wa ndege chato. Ulizia mchakato kama ulikuwaje kuwaje. Then nitakua siku 2-3 kama polisi hawajaja kukukamata na kukuhoji basi hoja ya chadema juu ya uhuru wa kujieleza itakuwa haina mashiko
 
Mimi si CHADEMA. Si lazima uwe CHADEMA kuhoji kuhusu uhuru.

Hata mimi nilihoji.

Tuanze na swali hili.

Magufuli alivyopiga marufuku mikutano ya kisiasa alitumia kifungu gani cha sheria?
 
Uhuru wa kuuza mazao yangu ninayolima kwa jasho kubwa mf.korosho, tumbaku, mbaazi sehemu yeyote yenye soko zuri au hata nje ya nchi na sio kulazimishwa na serikali kuuza kwenye Vyama vya ushirika ambapo sipati bei Nzuri na kuwa masikini.

Uhuru wa kutoa maoni yangu bila hofu ya kutokamatwa na polisi na kubambikiwa makesi Kama mdude nyangali, Erick kabendera, Viongozi wa Chadema

Uhuru wa kufanya kazi kwa uhuru bila kutekwa na kuuwawa Kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Rwabaje na wengineo wengi

Uhuru wa kuimba nyimbo yeyote au kuigiza jambo lolote bila kutekwa na kufanyiwa vitu vya ajabu kama Roma Mkatoliki na Ney Wa Mitego bila kusahau Msanii Idris Sultani.

Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoa Habari zozote za uchunguzi bila kufungiwa kama Tanzania Daima na wengineo.

Uhuru wa kukosoana kwa hoja na si kupigana risasi Kama Tundu Antiphas Lissu hadi amesababishiwa kilema cha maisha
 
Mimi si CHADEMA. Si lazima uwe CHADEMA kuhoji kuhusu uhuru.

Hata mimi nilihoji.

Tuanze nanseali hili.

Magufuli alivyopiga marufuku mikutano ya kisiasa alitumia kifungu gani cha sheria?
Wakikujibu nitagg
 
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira rahisi kuliko wakati wowote.

Ni Chadema hao hao wanaolilia uhuru wa habari wakati wao wenyewe wamekuwa wakiuminya kwa kufanya vitu ambavyo vimewawia vigumu hata wanahabari kutekeleza majukumu yao wakiwa nao kwa kuhofia usalama wao. Suala hilo linatokana na ukweli kwamba wakati wa uzinduzi wa kampeni zao pale Jangwani jijini Dar es Salaam, Chadema waliwatimua bila huruma waandishi waliokuwapo hapo wakitekeleza majukumu yao kwa madai kuwa wamewahujumu.

Ukiambiwa hawa watu wana akili fupi nadhani utaelewa nini namaanisha; unawezaje kumtimua mwandishi ambaye chombo chake kinaripoti moja kwa moja ‘live’ tukio hilo na wewe hapo hapo unamtimua huku ukihamasisha wafuasi wako wawapige ili kuwaongezea mwendo wa kutoka eneo hilo.

Kama kawaida yao hawakukomea hapo, katika ilani yao ambayo kwa asilimia 95 wamechukua mambo yaliyopo kwenye katiba na kuahidi kuyatekeleza lakini wakiwaaminisha Watanzania ni matarajio na vipaumbele vyao watakavyofanya wakishika dola.

Katika ilani yao Ukurasa wa 18, wameandika: Kwa kuwa Chadema inaamini katika fikra huru na mawazo mbadala kama msingi wa ujenzi wa uchumi shirikishi na hivyo kuleta maendeleo endelevu katika taifa; hivyo basi, Serikali ya Chadema itafanya mambo yafuatayo katika eneo la uhuru wakujieleza:-

a. Itahakikisha kwamba kila mwananchi anakuwa na uhuru kamili wa kueleza fikra zake, kupata na kutoa habari, kukusanyika na kujiunga na kikundi au chama chochote kwa hiari na utashi wake.

Hivi leo kusingekuwa na uhuru wa watu kujieleza watu wangekuwa wanapata wapi taarifa/habari za makundi ya watu na mtu mmoja mmoja kama wanasiasa, madaktari, wafanyabiashara, waendesha bodaboda, mama lishe nk? Kusingekuwa na uhuru wa kukusanyika, wangefika walipo sasa? Kusingekuwa na uhuru wa watu kujiunga na kikundi au chama leo hii kusingekuwa na utitiri wa vyama vya siasa, vyama vya kuweka na kukopa (Saccoss) au vyama mbalimbali vyenye mlengo tofauti ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sharia. Ni kwa sababu uhuru huo upo ndiyo maana

b. Itahakikisha kwamba, vyombo vyote vya habari; vya umma na binafsi, vinakuwa na uhuru wa kutafuta na kutoa habari bila upendeleo. Hili nalo ni tatizo jingine ambalo Chadema wameamua kujifanya hawalioni au huenda hawalijui.

Vyombo vya habari havijawahi kukosa uhuru wa kutafuta na kutoa habari ndiyo maana taarifa katika magazeti, Televisheni, radio, blogu na vyombo vingine zinafanana kimatukio kulingana na wakati na nyingine hazifanani. Na hii kwa sababu tu kila mtu/chombo kinatafuta habari kwa namna yake ili mradi hakivunji sheria. Sheria inavyosema kuhusu uhuru kutoa maoni na kupata habari Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 inasema:

(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Hayo ni mambo yaliyopo kisheria na yameendelea kutekelezwa tangu uhuru, sasa ni uhuru gani wanaoutaka Chadema, au wa watu kuwaoza watoto wao wa kiume kwa wanaume wenzao?
Mmetuzuia kutuma mpaka sms zenye jina la Tundu Lissu halafu bado unaona tupo huru, hatupo huru ndugu, ccm pekee ndio yenye uhuri nchi hii sio wananchi wanyonge au vyama pinzani
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom