Ni Ujinga kutoa Fomu nyingi kama CHADEMA kisha mnaanza kutukanana kwenye Media Mwenyekiti wa CCM huchaguliwa kimyakimya kwenye Uchaguzi wa Rais wa JMT

Ni Ujinga kutoa Fomu nyingi kama CHADEMA kisha mnaanza kutukanana kwenye Media Mwenyekiti wa CCM huchaguliwa kimyakimya kwenye Uchaguzi wa Rais wa JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kinachoendelea Chadema Kwa sasa Siyo demokrasia bali ni ushamba na upuuzi mtupu
Viongozi wanatukanana kana kwamba hawana familia makwao

Mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa na wajumbe 1200 tena Kwa utashi wao na si Kwa kutumwa na Wanachama

CCM Mungu wa Mbinguni awabariki Sana kwani utaratibu wao umenyooka na hauna mwanya wa kutoa Rushwa

Sisi CCM tunapomchagua Rais wa JMT automatically tunakuwa tumemchagua Mwenyekiti wa Chama Chetu ambaye baadae akishaapishwa basi mkutano mkuu wa CCM unaitishwa Ili kumthibitisha

Kwahiyo Mbowe angekuwa CCM isingewezekana kamwe kuwa Mwenyekiti kwa sababu hautaki uRais wa JMT

Uchaguzi wa Chadema ni mdogo Sana unakuzwa tu na media, jaribu kufikiria Wajumbe Wenyewe 1200 tu wanazidiwa mbali na Wajumbe wanaochagua Viongozi wa Daruso, Yanga, IFMSO, Simba nk

Wajumbe 1200 wanaingia mfukoni mwa tajiri mmoja tu na Mwamba anashinda saa 4 asubuhi 😂

CCM ndio Kiboko Ili uwe mwenyekiti wao lazima ukubalike na Dola kwenye vetting Zao kama mkuu wa nchi

Happy New Year 🌹
 
Back
Top Bottom