Ni ujinga,ulimbukeni na ushamba kusifia chuo unachosoma na kuviponda vingine!

Tatizo lililokuwa kichwani kwako ni kuwa kuwa graduate mzuri ni kuongea na kuandika fluent English, je mwanangu wa std 5 st naniliu anaweza compete EAC zaidi yangu mimi frm UDSM. Ondoa uzi wako unaonyesha hata hujitambui zaidi kutetea chuo chako cha kata. Funny unaanzia st fulani unamalizia Kata university alafu unajiita competent wakati mzazi wako alijitahidi ili nawewe umalizie alikokuanzishia ukaprove umbumbumbu wako. Bye
 
Sijui hata ulifikaje chuo,watu kama nyie ndiyo wezi wa mitihani!Maudhui ya thread yangu siyo English,nimetoa mfano hapo basi wewe umeuchukua mfano huo kama topic!Wewe itabidi uingizwe kwenye majanga ya taifa!
 
Kumbe kujua kuongea kingereza ndio ubora wa taaluma.!!. Basi natoa majumuisho kuwa wachina na wabrazil ambao zaidi ya 90% hawajui kingereza wao hawajaelimika...
 
Kumbe kujua kuongea kingereza ndio ubora wa taaluma.!!. Basi natoa majumuisho kuwa wachina na wabrazil ambao zaidi ya 90% hawajui kingereza wao hawajaelimika...

Huo mjadala wa lugha umetokea wapi!Hivi umesoma heading ya hii thread na umeyaelewa maudhui yake!?Tanzania haitaendelea daima kama upeo wa watu upo kama hivi!
 
Kumbe kujua kuongea kingereza ndio ubora wa taaluma.!!. Basi natoa majumuisho kuwa wachina na wabrazil ambao zaidi ya 90% hawajui kingereza wao hawajaelimika...

huyo anayesema hivo ni mwehu.
hakuna lugha bora zaid ya nyingine,,,,kila lugha ni bora kwa watumiaj wa lugha hiyo
 
Chuo cha Taifa ni UDSM tu. Vingine ni taasisi

Kwa hicho ulichokiandika Han'some, kweli leo ndo nimeamini kuwa kuna watu ktk hii dunia wanatumia ma**ko kufikilia. Manake hainiingii kabisa akilini kama kuna mtu anayetumia kichwa na ubongo wake kikamilifu aandike upuuzi kama huu! Na nina mashaka makubwa na jinsi familia yako inavyoishi/itakavyokuja kuishi endapo tu uwezo wako wa kufikilia uko butu kiasi hiki & sio siri nakuonea huruma sana!
 
Last edited by a moderator:
huyo anayesema hivo ni mwehu.
hakuna lugha bora zaid ya nyingine,,,,kila lugha ni bora kwa watumiaj wa lugha hiyo

Umeshaanza kuleta vipoint vya historia ya kiswahili ulivyokariri O-level!Hii thread siyo ya lugha,mnaniudhi sana watu kama nyie mnaoingia kwenye mjadala bila kujipanga kimawazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…