Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Habari wanajukwaa,
watu mnaoshiriki interview za kazi kama muombaji, HR au kama mratibu wa interview na kadhalika tunaomba mtusaidie tujifunze na kujiandaa vizuri. Ni ujuzi/skill gani ambayo umegundua watu wanakosa wanapoenda kwenye written au oral, au practical interview za kazi mbali mbali?
Binafsi nna mtu wangu wa karibu ni Muhasibu kwenye kampuni flani, yeye amesema katika interview za uhasibu waombaji wengi hawana ujuzi wa kutumia accounting software mfano sage, quickbooks, excel na nyinginezo.
Mwingine ni mwalimu katika shue ya private yeye anasema waombaji wengi hawajui kuongea lugha ya Kingereza kwa ufasaha. Mwingine katika IT aliwahi niambia kwamba graduates wengi wa IT wanajua theory tu lakini ukiwapa practical mfano programming skills wengi hawawezi kabisa. je wewe umegundua mapungufu gani kwenye sahili ulizohudhuria.