Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani sijui nikuelezeje ni kama vile mtu anakula jojo.
Natafuna sana ulimi jamani je nimekosa madini flani mwilini ama ni nini? ......nifanyeje ili niache?
Mi mwanangu mkubwa pia ndo ivoivo.
Basi awe ame concentrate na kitu ndo utasema ataukata.
Mimi nlichoona ni kwamba alichelewa kuota meno, so akawa mafizi yakimuwasha anatafuna km kujikuna. Matokeo yake hadi meno uameota bado anaendelea km mazoea. Nlijua utoto tu kadri akikua ataacha lkn hadi leo kigori mzima bado tu. Na kila akua anazidi
Sio upungufu wa madini wala tatizo lolote ila ni tabia ya mazoea tu ambayo ukiamua kuacha unaacha.Hapa hom kulikua na dogo anatabia hyo tukamtia stick na kumkataza hajafanya tena hiyo kitu so ni kama mtu ambaye akikaa kwenye kiti lazma atingishe miguu
Natafuna sana ulimi jamani je nimekosa madini flani mwilini ama ni nini? ......nifanyeje ili niache?
Hiyo ni kawaida :evolution-yaani unaanza kubadilika kuwa RuminantNatafuna sana ulimi jamani je nimekosa madini flani mwilini ama ni nini? ......nifanyeje ili niache?