Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Sasa ikiwa mfumo umeungwa tayari,Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Ndio swali najiuliza!Sasa ikiwa mfumo umeungwa tayari,
Nia ya kuchukua namba yako ya nida ni Ili iweje?
Nia ni kutengeza kadi bandia za zuada za wahuni kupiga kura ktk vituo bandia za Siri.Ndio swali najiuliza!
Basi kura yangu imeharibika kabla hata ya kupiga kura!Nia ni kutengeza kadi bandia za zuada za wahuni kupiga kura ktk vituo bandia za Siri.
Namba yako itatumika kuweka picha ya mwingine na mwingine kwa kuforge Kisha kutumika background kutiki wawezavyo.
Usipopiga ni kama tumepiga, na ukitiki umetiki.- Mandonga.Basi kura yangu imeharibika kabla hata ya kupiga kura!
Imeharibikaje wakati ulipotoa tu namba za NIDA mfumo ulienda kupiga tiki ?Basi kura yangu imeharibika kabla hata ya kupiga kura!
Hii revelation ya Polepole imenisikitisha.Imeharibikaje wakati ulipotoa tu namba za NIDA mfumo ulienda kupiga tiki ?
Kwa hiyo anatick October bila kwenda kwenye kituo Cha kupigia kura!Kama Ulitoa Ushirikiano,tayari Umeshasomana Na INEC+CCM.
Mkuu uajua kwanini huko nyuma mtoto wa mlamba asali alikuwa na nguvu sana, jibu ni kuwa yeye na swahiba wako mandondo ndio walishikilia code za mfumo wote, hii ikawa inampa kiburi mbele ya wamiliki wa shamba la mboga mboga, walichokifanya ndicho hicho unachokisema, kifupi wakaanza upya nje ya mfumo aliokuwa ameshikilia mtoto wa mlamba asali na jamaa zake, na wamefanikiwa hapo ndio ukawa mwisho wa jeuri ya mtoto wa mlamba asali, data base aliyoiringia ilikuwa obsolete!Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Kwa hiyo anatick October bila kwenda kwenye kituo Cha kupigia kura!
Kweli kabisa alichosema polepole na unachozema wewe viongozi wa matawi wa ccm nchi nzima hupita kuandikia namba za nida nz kitambulisho Cha kumpigia kura , ukweli mtupu.Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Hahahaha, Mkuu mbn HP alishema mwanzo ulikua MIPANGO MZURI TU, lengo lilikua kila anayepewa KADI ya chama chao awe mtanzania halisi nasi mgeni,maana CCM KADI wanazo Hadi wageni ,wanyasa,wamakonde kudhibiti ikawa NIDA inahitajikaMnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Mkuu kuhakikisha kuwa mpiga kura ni mzawa na mwannchi wa Tanzania, hilo ni jukumu la serikali, siyo chama.Hahahaha, Mkuu mbn HP alishema mwanzo ulikua MIPANGO MZURI TU, lengo lilikua kila anayepewa KADI ya chama chao awe mtanzania halisi nasi mgeni,maana CCM KADI wanazo Hadi wageni ,wanyasa,wamakonde kudhibiti ikawa NIDA inahitajika
Zoezi la kuandikisha wapiga kura , wajumbe wakawa wanapita Kwa watu wao kuona kama ulijiandikisha kupiga kura ni mwanachama wao ,Kwa maana una KADI ya NIDA,ya CCM na sasa unaenda kupiga KURA ,hivyo wawe na uhakika WA hiyo KURA
KUKBE WAHUNI WALIKUA NA PLAN B ya kuwapigisha KURA wote hata asiye Ccm atapiga Ccm,hajajiandiksha atapigiwa kura yake Ccm , Mfumo