Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Wana-JFNimeipata hii mpya leo. Eti ukiwa na gari lako hapa jijini, ukabandika picha ya JK (ile yake ya smiling face yenye maandishi Chagua Kikwete Chagua CCM) hawa manjagu wetu hawatakupiga bao kwa maana ya kukusimamisha barabarani hata ukiwa umetenda kosa gani?
Nasikia hii ni zawadi maalum kutoka CCM kwa traffic offenders na itatumika hadi Okt 31!
Wana-JF-Nimeipata hii mpya leo. Eti ukiwa na gari lako hapa jijini, ukabandika picha ya JK (ile yake ya smiling face yenye maandishi Chagua Kikwete Chagua CCM) hawa manjagu wetu hawatakupiga bao – kwa maana ya kukusimamisha barabarani hata ukiwa umetenda kosa gani?
Nasikia hii ni zawadi maalum kutoka CCM kwa traffic offenders na itatumika hadi Okt 31!
Nimeweka stika ya chagua Dr Slaa na trafiki alipoiona alitabasamu na kuniambia nenda bwana na huku naondoka akanipigia vidole viwili.