Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje tu hawana madharaMkuu ngoja waje timu zari watuambie..
Mimi ngoja nisubiri kusoma comments
Daah watu bwanaa. Kwahiyo hapa na wewe umeshapost kitu jf,ok basi sawaa
Timu bibi leoo tutawajuaHebu toa upuuzi wenu huyu ana uzuri gani? Hiki kitoto kibayaaa
Hiyo ndio falsafa yako nini! You are wrongMZURI HELA, ZARI ANA HELA.
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke???Kwa kweli huyu mrembo unapomfananisha na bibi kizee wa Uganda ni kumkosea heshima Mobeto!
Tumia dakika mbili kumuangalia na weweView attachment 677233
Mijadala ya facebook hiiKwa kweli huyu mrembo unapomfananisha na bibi kizee wa Uganda ni kumkosea heshima Mobeto!
Tumia dakika mbili kumuangalia na weweView attachment 677233
Hahaaa. Mkuu ila mobeto hatariSawa timu kibibi
Kwa kweli huyu mrembo unapomfananisha na bibi kizee wa Uganda ni kumkosea heshima Mobeto!
Tumia dakika mbili kumuangalia na weweView attachment 677233