Ni Umri Gani Mwafaka Wa Kumfanyia Mtoto Tohara?

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
2,655
Reaction score
2,650
Habari wana Jamvi.

Nna Mtoto wa Kiume Umri miaka miwili na nusu 2.5 sijamfanyia tohara na niliacha kumfanyia mapema kulingana na mila na desturi za kwetu maana mie Baba ake nilifanyiwa nikiwa kidato cha pili.

Sasa leo mtoto amenishtua kidogo ametoka kuogeshwa akamwambia Mama ake

''Mama nataka kukata dudu yangu"

tukatafsiri kuwa majirani wanaomzunguka a watoto anaocheza nao wote wamekatwa yaani wamefanyiwa tohara tukahisi labda watoto wenzake wamemwambia lazima akatwe.

je akiendelea kuachwa hivyo hivyo hakuna siku tunaweza pata amejikata dudu yake?

je Umri sahihi kiafya ni upi hasa?
 
Inategemea na wewe mwenyewe hata akiwa bado mchanga waweza kumfanyia tohara
 
Kwa maoni yangu.. Usimfanyie mtoto tohara akiwa Mdogo sana.. Maana hizo sehem ndo kwanza zinakuwa.. ! Na kama unavyojua kukata dudu (kama alivyosema dogo) kuna maumivu sana.. ! Kiasi kwamba husababisha kufa kwa cells ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa dushe la mtoto, due to high stimulation ya nerves zake... Mwishowe mtoto huwa na kibamia... ![emoji41]
 
Subiri at least afike miaka 6 ,7 au 8 bila hivyo atakuwa na ubooo mdogo
 
Mkuu Ahsante kwa ushauri
 
wasikudanganye kuwa ukimkata mapema atakuwa na kibamia huo uongo mimi sijui hata lilikatwa lini lakini mzigo upo wa kutosha.
ha ha ha sawa mkuu
 
Mie nilifanyiwa Tohara kwa kisu kikali bila ya ganzi baada ya kumaliza darasa la nane nikiwa na Miaka 14 nimeifurahia sana hali hiyo katika Ujana wangu wote!
 
Pia ukumbuke ile ngozi inaweka uchafu na kusababisha atoe harufu mbaya au usaha (hii ilimtokea mtoto wa Dada yangu na alipopelekwa hospital Dokta akasema inatakiwa atahiriwe)
 
Pia ukumbuke ile ngozi inaweka uchafu na kusababisha atoe harufu mbaya au usaha (hii ilimtokea mtoto wa Dada yangu na alipopelekwa hospital Dokta akasema inatakiwa atahiriwe)
Mkuu issue ya usafi ni wazazi wenyewe kutokuwa careful na afya ya watoto wao.. ! Kuhusu usaha huyo mtoto wa dada yako lazima alipata ajali sehemu hizo zikaweka kidonda so usisingizie mkono wa sweta... Na yaonekana ni huo mkono wa sweta ndo uliopata kidonda so ilikuwa kweli lazima huyo mtoto afanyiwe tohara la sivyo angepoteza dushe lote... !
 
Mie nilifanyiwa Tohara kwa kisu kikali bila ya ganzi baada ya kumaliza darasa la nane nikiwa na Miaka 14 nimeifurahia sana hali hiyo katika Ujana wangu wote!
Kwa hiyo Mkuu unashauri nisubiri akue kwanza?wasiwasi wangu anaweza kudanganywa nikapata amekata dudu yake kama alivyosema jana
 
Kwa hiyo Mkuu unashauri nisubiri akue kwanza?wasiwasi wangu anaweza kudanganywa nikapata amekata dudu yake kama alivyosema jana
Muelimishe asije kudanganywa, hata kwa kumwambia madhara atakayoyapata akikatwa au kujikata yy, ukimwambia inshitaji pesa asubir had zpatkane huenda akaelewa,

Ila ninavyojua ukimfanyia mapema unadumaza ukuaji wa dudu, so zingatia ushaur wa kitaalam kwa kumuona daktar akushaur zaid
 
Ahsante sana Dada. ila bado mdogo sana sjui kama anajua hakuna pesa wala kuna pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…