Kwa hiyo unadhani vitanda vyote vinakaa ukutani?

kama hajawa mkeo bado ni mtarajiwa imekuwaje mkalala kitandani. Tena unathubu kusema ni mara nyingi... Lo!

hakuna chochote!!!! Huyo mwanamke wako anasababu zake binafsi, usimfananishe na wanawake wengine mana wa kwangu huwa hana shida

Sio kweli kabisa,na wala vitanda vyote haviko ukutani.
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.
Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.
Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?

weka kitanda centre ya chumba halafu uone kama ataingia uvunguni kufata hiyo protection mnayodai anaifata ukutani. Kwa nini kila anachofanya mwanamke hata kama ni cha kawaida kinakuwa topic of discussion?

Yaani wewe mke mtarajiwa unalala nae kitanda kimoja halafu bado unamwita mke mtarajiwa!!!! Yaani hii dunia ni full vurugu, kila eneo kuna ufisadi hadi kwenye ndoa. Sasa si ungesubiri umwoe ndo uanze kuishi nae kama mke. Una haraka ya nini?? wavulana wa siku hizi taabu tupu
.Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.
Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.
Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?