Ni upi mchango wa cwt ili kupata elimu bora nchini ukitoa kukata fedha za waalimu?

Ni upi mchango wa cwt ili kupata elimu bora nchini ukitoa kukata fedha za waalimu?

Joined
Mar 5, 2014
Posts
93
Reaction score
48
CWT(Chama Cha Waalimu Tanzania kimejaa usanii mtupu,natokeo ya kidato cha nne kila mwaka yanaporomoka na Katiba ya CWT inasisitiza elimu bora hali inazidi kuwa mbaya hadi serikali inajiongeza na kuweka div 5"CWT mna mpango gani,Tunasubiri tamko lenu au mpaka wakati a migomo ya kimaslahi mnatuuza waalimu?
 
Mi najibu title yako maana naona content inazungumzia kitu kingine.

Moja ya kazi za groups in any organization is to speak for many kuliko kila mfanyakazi kwenda na kuzungumza na mwajiri na hili jambo ni lakawaida kabisaaaa.

Ila kwa nini shule zinafelisha hilo ni jambo jingine.
 
cwt wataboreshaje elimu wakati hawahusiki katika kuiporomoa? kazi ya cwt ni kutetea maslahi ya walimu, sio wanafunzi. wanafunzi hata wakikosa madawati na vitabu cwt watafanyaje? unataka wakatwe mishahara wanunulie vitabu na kuchongea madawati? think BIG man!
 
CWT inaundwa na akina nani? Wanaofundisha hawa wanafunzi wanaofeli ni wanachama wa CWT au la? Kama ndio watasemaje wakati nao ni sehemu ya tatizo? PIA CWT hawahusiki na ufaulu kwani hawatengenezi sera bali wanatekeleza amri ya wizara ya elimu.
 
Someni vizuri katiba ya chama mtakutana na neno....-uinua ubora wa elimu....sasa kuiinua kivipi?..kama elimu inaporopoka na CWT wanaangalia?
 
Back
Top Bottom