Ni upi muafaka wa Wafanyabiashara?

Ni upi muafaka wa Wafanyabiashara?

Joined
Jan 30, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Tunaona kimya kabisa hadi leo hivi hamjui kuwa tunaumia sisi wa hali ya chini.?
Nini kinaendelea huko serikalini au ninyi viongozi mnanunua wapi mahitaji yenu?
Maduka yamefungwa mfululizo siku tano sasa.aah jamani nchi hii vipi enyi wakuu?
 
Back
Top Bottom