shukuru million Member Joined Jan 30, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Mar 31, 2015 #1 Tunaona kimya kabisa hadi leo hivi hamjui kuwa tunaumia sisi wa hali ya chini.? Nini kinaendelea huko serikalini au ninyi viongozi mnanunua wapi mahitaji yenu? Maduka yamefungwa mfululizo siku tano sasa.aah jamani nchi hii vipi enyi wakuu?
Tunaona kimya kabisa hadi leo hivi hamjui kuwa tunaumia sisi wa hali ya chini.? Nini kinaendelea huko serikalini au ninyi viongozi mnanunua wapi mahitaji yenu? Maduka yamefungwa mfululizo siku tano sasa.aah jamani nchi hii vipi enyi wakuu?