Ni upi mustakabali wa sera ya kutofungamana na upande wowote (NAM)?

Ni upi mustakabali wa sera ya kutofungamana na upande wowote (NAM)?

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Dunia inaenda kasi sana !
kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k

Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili.
Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia ,hisia na uwezo kikomo tulionao.

Je ni upande upi unaelekea kushinda au kushindwa japo sio leo ?

Kama Taifa linalohitaji kukua na kuyafikia malengo muhimu kama Taifa tunahitaji kutambua ni upi utakuwa muelekeo sahihi ?

Naamini kabisa hatutaweza kuhimili vishindo vya wababe wawili duniani ...hivyo ni muda muafaka wa kutabiri,kupanga na kuamua ni mrengo upi sasa ambao tuta-side nao.


Wazo!
 
Back
Top Bottom