Ni upi mustakabali wa SUKUMA GANG baada ya azimio la chama pendwa?

Ni upi mustakabali wa SUKUMA GANG baada ya azimio la chama pendwa?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Hili Genge lilitamba sana miaka ya nyuma na kutuaminisha kwamba lenyewe ndiyo lina hati milili ya uongozi wa nchi yetu

Mambo yanaenda kasi sana, na tayari chama chetu pendwa kimekuja na azimio., azimio linalilosababisha vijana zaidi ya 1000 kutembea kutoka Dodoma hadi Dar-es Salaam kuliunga mkono. Huu ni ufurukutwa wa hali ya juu na mapenzi makuu kwa chama chao

Swali linabakia, ninini mustakabali wa SUKUMA GANG na magenge mengine ya kipuuzi kama hayo?
 
Back
Top Bottom