Ni upi ubora na changamoto za Nissan Teana?

Ni upi ubora na changamoto za Nissan Teana?

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu. Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake.

Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
 
Itakutesa mpaka utajua, najua hayo magari, ukiona ujue kapambana nalo limemshinda, nashauri tu ila wewe unaweza ona kama litakufaa.
Nachukua ushauri wako bro.wacha nifanye mambo mengine kwanza.
 
Back
Top Bottom