Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Nunua Fuga badala ta Teana.Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu.Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake.
Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
Teana vampire
Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu.Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake.
Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
Kwa mtu kakaUnanunua mpya ambayo utaisimamia mwenyewe? Kama ni used Tanzania usithubutu.
Kwa mtu kaka
Pesa zikinifikia nachukua Skyline.Nunua Fuga badala ta Teana.
Ni 4m mkuu,ni gari ya mkononi kwa mtuHapana, usinunue kabisa, hayo magari magumu kutunza na mafundi wengi wababaishaji, ni bei gani?
Ni 4m mkuu,ni gari ya mkononi kwa mtu
Nachukua ushauri wako bro.wacha nifanye mambo mengine kwanza.Itakutesa mpaka utajua, najua hayo magari, ukiona ujue kapambana nalo limemshinda, nashauri tu ila wewe unaweza ona kama litakufaa.
Kimbia kabisa usithubutuNi 4m mkuu,ni gari ya mkononi kwa mtu