Hapa na pale ndio wapi mkuu?Nasikia kuna wanawake ukitembea nao .....ujiandae kuandamwa na mikosi na nuksi za hapa na pale
We Jidanganye tu..Hizo vitu zipo kwenye fikra tu.
Chuki,furaha na upendo ni matokeo ya fikra.We Jidanganye tu..
Ngoja nikupe mfano wa kuamsha udadisi
Ivi katika maisha yako hujawahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza
Akiwa hajakutendea Jema wala baya lakini ukahisi kuchukizwa nae !
Na ukakutana na mwengine vilevile hajatenda jema wala baya lolote lile kwako lakini _ukapendezwa nae
Unaweza kujua sababu ya muelekeo wa namna hiyo.?
Sawa...kwani nani kakataa.!?Chuki,furaha na upendo ni matokeo ya fikra.
Ninachoamini ni kuwa, binadamu ana nafsi ambayo ina jumuisha akili,hisia na maamuzi.Sawa...kwani nani kakataa.!?
ila leo mdau kataka kuzumzia juu mikosi na nuksi a.k.a Gundu.. sijui unaelewa.?
Si vitu avifikiriavyo mtu
Bali ni matokeo ya matendo/majambo yaliyowahi kumsibu mtu ndio hutengeneza misamiati hiyo
Hivyo tunatengeneza vichocheo vya udadisi kulingana na muktadha
Izo vitu vote kupendezwa au kuchukizwa hutangulizwa na hisia tu mkuu. Na hisia zote hutokana na jinsi tunavyofikiri ..jaribu kutafakariWe Jidanganye tu..
Ngoja nikupe mfano wa kuamsha udadisi
Ivi katika maisha yako hujawahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza
Akiwa hajakutendea Jema wala baya lakini ukahisi kuchukizwa nae !
Na ukakutana na mwengine vilevile hajatenda jema wala baya lolote lile kwako lakini _ukapendezwa nae
Unaweza kujua sababu ya muelekeo wa namna hiyo.?
Kama una somo lake mkuu kuhusu hili unheweka hapa mkuuR.I.P Munga Tehenan
Tafata kitabu chake kinaitwa Jinsi ya kupata Bahati, Pesa na Mafanikio huko kumeelezwa kila kitu. Mikosi Nuksi bahati na bahati mbaya.Kama una somo lake mkuu kuhusu hili unheweka hapa mkuu
Hivyo vyote hutengenezwa na binadamu mwenyewe, zaidi kiroho...Tafata kitabu chake kinaitwa Jinsi ya kupata Bahati, Pesa na Mafanikio huko kumeelezwa kila kitu. Mikosi Nuksi bahati na bahati mbaya.
Kwani vya kiroho havijatengenezwa na binadamu? Vipo vitabu vinakusaidia kujitambua mkuu. Acha kuwa mfia diniHivyo vyote hutengenezwa na binadamu mwenyewe, zaidi kiroho...
Daah !! mkuu si nimesema vinatengenezwa na binadamu mwenyewe kupitia mambo ya kiroho ?au hujanielewa ? hasira, visasi, ulozi, wivu, n.k . hujui hivyo ni vitu vya kiroho zaidi ? halafu Mimi sio mfia dini hapa nilipo nina jibapa, najidunga tu....Kwani vya kiroho havijatengenezwa na binadamu? Vipo vitabu vinakusaidia kujitambua mkuu. Acha kuwa mfia dini