Ni upi utabiri wa kinabii wa Pascal Mayala kuhusu CHADEMA?

Ni upi utabiri wa kinabii wa Pascal Mayala kuhusu CHADEMA?

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
36
Reaction score
68
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa makala za mwandishi nguli wa mtandao wetu wa jamii forum hususani Jukwaa la Siasa kwa muda mrefu sana. Huyu si mwengine ni Guru la uandishi na ufatiliaji wa mambo ya kisiasa Bw PASCAL MAYALLA

Na hata hivyo naweza sema ni moja ya waandishi nguli zaidi Tanzania wanaoendelea kuishi na sijaona nani katika vijana wanaoibukia wanaoweza kurithi nafasi yake kwa sasa.

Tumeshuhudia makala zake nyingi ambazo naweza kusema zimekuwa na unabii ndani yake kwani mengi alokuwa anayatabiri yamekuwa yakitokea live bila chenga.

Natamani kusikia unabii wake kunako kiti cha CHADEMA hususani katika kipindi hiki panapofukuta ili walau wanajukwaa tutulize mihemuko.

Upo wapi mzee wangu Pascal Mayala, kwani hujanusa hamu yetu ya kutamani kusikia neno kutoka kwako hasahasa utabiri wako?
 
Back
Top Bottom