Shida ni cheti cha kuzaliwa, ndio tatizo linapoanziaHapo kubadilisha ni nida tu ili vifanane na vyeti vyako.
Fanya hiviHabari zenu wakuu,
Naomba kujulishwa natakiwa nifanyeje ili niweze kubadili majina ya vyeti vya kitaaluma pamoja na kitambulisho cha Nida ambavyo vinasoma tofauti.
Mfano mimi naitwa Neema Yusuph Ibrahimu ;Majina haya yanatokea kwenye cheti cha kuzaliwa na nida.
Ila vyeti vya kitaaluma vyote vimeandikwa Neema Y Ibrahimu. Natakiwa kufanyaje kubadili majina haya na gharama zake zipoje.
Ahsanteni