Ni upopoma kwa mwanaume kumsaidia mpenzi au mke figo yako wakati unajua wanawake wa leo siyo waaminifu muda wowote mnaachana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine.

Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu
Nikiona mwanaume anamsaidia Figo Mpenziwe au Mke huwa si tu Namdharau bali namuona ni Mwendawazimu Aliyetukuka.

Imeisha hiyo.......!!
 
Hivi kumbe kuna watu wanafanya hivi kweli?

Nilikuwa naona kwenye movies enzi hizo nafuatilia bongo movies nilipokuwa dogo, nikadhani ni mambo ya movies tu
 
Wapumbavu huwa Wanapungua duniani Mkuu?
 
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine nikiona Mwanaume anamsaidia Figo Mpenziwe au Mke huwa si tu Namdharau bali namuona ni Mwendawazimu Aliyetukuka.

Imeisha hiyo.......!!
Si kila kizuri kifanywacho hufanywa sababu ya mapenzi, kuna mengi hufanywa sababu ya utu tu ila watu hushindwa kurlewa msukumo uliowapelekea wafanye vile
 
Si kila kizuri kiganywacho hufanywa sababu ya mapenzi, kuna mengi hufanywa sababu ya utu tu ila watu hushindwa kurlewa msukumo uliowapelekea wafanye vile
Wanaofanya utu wanakwenda kuchangia damu kwenye bank ya damu na wanatowa willing wakifa viungo vyao muhimu vichukuliwe kusaidia wengine, huo ndio utu.

Siyo kisa tako limekuzuzuwa eti umchangie figo, nyooooo.
 
Ooh kumbe kuna vituo vya kupelekea utu wako na lazima usndike husia? Kumbe ukifanya nje ya maeneo hayo siyo utu bali ni mapenzi! Hata majeruhi ukiwasaidia nje ya hospitali ni mapenzi, siyo utu, nilikuwa sijui ahsante kwa kunielewesha

Wewe una tako?
Iko boro.
 
Ni kweli Kuna kijana alimsaidia mpenzi wake baadae akaachwa akaenda kutolewa na mwanaume mwingine, nilitamani ninunue kesi.
 
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine nikiona Mwanaume anamsaidia Figo Mpenziwe au Mke huwa si tu Namdharau bali namuona ni Mwendawazimu Aliyetukuka.

Imeisha hiyo.......!!
Mwache tu atambe, waliowekewa figo huishi muda mfupi, bora sana kusafisha damu kila wiki kuna watu wana miaka 20 mpaka 30 kadri nilivyisikia simulizi za mitaani.
 
Back
Top Bottom